Kikundi cha haki za binadamu kimesema kuwa wachimba dhahabu kadhaa wameuawa katika mashambulio yaliyotokea kwenye mpaka wa Misri na Sudan Jumamosi.